Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akihutubia wadau wa mchezo wa Chess alipokuwa mgeni rasmi katka chakula
cha usiku kilichoandaliwa maususi kwa ajili ya kuzindua mpango wa
kufundisho mchezo huo mashuleni. Hafla hiyo imefanyika jana katika
Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Bingwa wa
zamani wa Duni wa mchezo huo GM. Garry Kasparov, Mwenyekiti wa Chama cha
Chess Tanzania Geofrey Mwanyika (Mwenye tai).
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kulia)
akicheza Chess na aliyekuwa bingwa wa Dunia wa mchezo huo GM. Garry
Kasparov (kushoto) jana jijini Dar es Salaam kuashiria kuzinduliwa rasmi
kwa mpango wa kufundisha mchezo huo mashuleni, kulia kwa Waziri ni
Mwenyekiti wa Mfuko wa Chess Tanzania Vinay Choudary
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Leonard Thadeo (mwenye tai nyekundu) kiwa na baadhi ya wadau wa
mchezo wa ches wakifuatilia uzinduzi wa mpango huo wa kupeleka mafunzo
ya mchezo wa chess katika shule hapa nchini.
Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo la Taifa Dioniz Malinzi(kushoto) akisalimiana na
Bingwa wa zamani wa mchezo wa Chess duniani GM. Garry Kasparov mara
baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mpango wa kufundisha mchezo wa Chess
mashuleni hafla iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – Wizara ya Habari












0 comments:
Post a Comment