Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge
jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho
tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi
huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katuka
Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa
marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba
baadaye mwezi huu.
0 comments:
Post a Comment