Sunday, 9 February 2014

WAZAZI SHULE YA SEKONDARI ST.ANNE MARIE WAOMBA WATOTO WAO WARUSIWE KUFANYA MTIHANI WA MOCK KIDACHO CHA SITA

 
Wazazi St. Anne 01
Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia  Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi.
Wazazi St. Anne 02
Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa shule hiyo.(Picha na Eliphace Marwa -  Maelezo).

0 comments: