
Na Martha Magessa
Hii ni taarifa ya huduma ya kansa ya
shingo ya kizazi kwa wanawake kuanzia mwaka 2012 walivyoanza kutoa
huduma hiyo hadi 2013 katika vituo viwili ikiwemo hospitali ya mkoa wa
Iringa na kituo cha Ipogolo ni vituo vilivyo tengwa kutoa huduma ya
upimaji wa kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake mkoani humo.











0 comments:
Post a Comment