
Winga huyo amejiunga Cardiff kwa mkopo
akitokea Manchester United, lakini baada ya kucheza mechi moja tu
kwenye klabu hiyo, kocha Solskjaer akaibuka na kusema huyo ni Ronaldo
mpya na kwamba atamfaa sana David Moyes kwa siku za baadaye. Chanzo:
mailonline












0 comments:
Post a Comment