Sunday, 5 January 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA KMKM KIBWENI, ZANZIBAR


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo  4 January   2014 (PICHA NA IKULU)kib2 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo   January  4, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo   January 4 2014
2014 kib5 

Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Mrisho Kikwete  alipowasili kwa a ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar   January 4, 2014

0 comments: