![]() |
| Wananchi wa Kyela wakifuatilia mkutano wa katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa leo katika mwendelezo wa mikutano yao ya M4C PAMOJA Daima katika mikoa ya nyanda za juu kusini |
![]() |
| Vijana wa Chadema wakihakikisha ulinzi upo wa kutosha katika mikutano hiyo leo Kyela |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akihotubia katika mikutano huo Kyela baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza machache kuhusu harakati hizo za M4C Pamoja daima |
















0 comments:
Post a Comment