| Mpiga picha mkuu wa Ikulu Issa Michuzi kushoto akijiandaa kuwapiga picha viongozi wa mkoa wa Iringa na rais Kikwete |
| Rais Kikwete akiteta jambo Hamad Rashid (CUF) aliyefika uwanja wa Ndege Nduli |
| Rais Kikwete akisalimia na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa na muasisi wa TANU mzee Tasili Mgoda mara baada ya kukutana uwanja wa ndege Nduli wakitokea kumzika Dr Mgimwa |
| Rais Dr Jakaya Kikweteakifurahia jambo na kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa na mwenyekiti wa kamati ya baraza la usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas |
| Mratibu wa kombe la Muungano Mufindi Daud Yassin kulia akisalimiana na Rais Dr Kikwete |
| Rafiki mkubwa wa Dr wiliam Mgimwa mkoani Iringa John Kiteve akiagana na Rais Dr Kikwete huku akiwa na huzuni mwingi |
| Katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Iringa Dr Yahaya Msigwa kulia akiagana na rais Dr Kikwete uwanja wa Ndege Nduli |
| Waziri wa uchukuzi Dr Mwakyembe kulia akiagana na Rais Dr Kikwete katika uwanja wa ndege Nduli baada ya kutoka kumzika Dr Mgimwa |
| Rais Kikwete akiagana na mmoja kati ya mawaziri wake |
| "Ni mara yangu ya kwanza kukushika mkono mheshimiwa Rais " |
| Mzee Kaundama akisalimiana na rais Kikwete " Mheshimiwa rais Mimi ndie mzee Kaundama mmiliki wa Kalenga Westen Park " Rais : Oh Hongera sana kumbe ndio wewe |
| rais Kikwete akiagana na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Iringa |
| Kamanda wa TAKUKURU Iringa akiagana na rais Kikwete |
| Ras Iringa Bi Wamoja Ayub akiagana na rais Kikwete |
| DC Kilolo Gerald Guninita akiagana na rais Dr Kikwete |
| Mbunge wa viti maalum mkoa wa Njombe Pindi Chana akiagana na rais Dr Kikwete |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akiagana na Rais Dr Kikwete |
| Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma akiagana na rais Dr Kikwete |
| Katibu msaidizi wa CCM mkoa wa Iringa Jimson Mhagama akipanda katika ndege kwenda kuchukua mchango wake wa harusi kwa JK |
| Mzee wa kazi Issa Michuzi akifurahia jambo baada ya kuhitimisha kazi yake |
| Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Iringa na wananchi wakimuaga rais Kikwete |
| Mkuu wa misafara ya Kikwete Ikulu Kedmund Mnubi kulia akiwa na mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas |
| Mmiliki wa ndege 5H-NEG wa piki katikati akiwa na wadau mbali mbali |
| Mfanyabiashara Pill Mohamed kushoto akiwa na mwanae |












0 comments:
Post a Comment