Tuesday, 21 January 2014

LIGI KUU ENGLAND: MENEJA MPYA WBA AANZA NA SARE!

>>EVERTON YASHINDWA KUPANDA 4 BORA!
WEST BROMWICH ALBION, walimkaribisha Meneja wao mpya kutoka Spain, Pepe Mel, kwa SareBPL2013LOGO ya Bao 1-1 na Everton kwenye Mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa Jana Usiku Uwanja wa The Hawthorns.
Kevin Mirallas ndie alieipa Everton Bao la kuongoza katika Dakika ya 41 na Diego Lugano kusawazisha kwa West Brom kwenye Dakika ya 75.
Sare hii imeibakisha Everton Nafasi ya 6 na kuipandisha West Brom Nafasi moja na kushika Nafasi ya 13.
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
22
24
51
2
Man City
22
38
50
3
Chelsea
22
23
49
4
Liverpool
22
25
43
5
Tottenham
22
3
43
6
Everton
22
15
42
7
Man Unit3d
22
9
37
8
Newcastle
22
4
36
9
Southampton
22
4
31
10
Aston Villa
22
-7
24
11
Hull
22
-6
23
12
Norwich
22
-17
23
13
West Brom
22
-5
22
14
Stoke
22
-14
22
15
Swansea
22
-6
21
16
Crystal Palace
22
-17
20
17
Fulham
22
-26
19
18
West Ham
22
-11
18
19
Sunderland
22
-15
18
20
Cardiff
22
-21
18
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumanne Januari 28
2245 Man Utd v Cardiff
2245 Norwich v Newcastle
2245 Southampton v Arsenal
2245 Swansea v Fulham
2300 Crystal Palace v Hull
2300 Liverpool v Everton
Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City

0 comments: