Sunday, 12 January 2014

COASTAL UNION YAANZA VIZURI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWA USHINDI WA 2-0


    Coastal Union (wenye jezi nyekundu) wameanza ziara yao ya Oman Jana kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Musannaa. Coastal ipo huko kwa ziara ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

    0 comments: