Tuesday 20 August 2013

RIPOTI MAALUM:HATARI ZIWA VICTORIA( WATANZANIA WALISHWA VINYESI, MENGI YAIBUKA)

 

Watoto wakicheza pembezoni mwa Ziwa Victoria.



Picha hii inaonesha mfereji (kulia) unaotoka Soko Kuu la Mji wa Bukoba ukiwa umebeba vinyesi kutoka maeneo mbalimbali likiwemo Gereza la Bukoba, Uchafu unaotoka katika gereza hilo hupitia Shule ya Msingi Rumuli kabla ya kuungana na mfereji huo ambao hukutana na Mto Kanoni, kama inavyoonekana pichani.


Na Mwandishi Wetu



SERIKALI imeweka sheria mbalimbali zinazolenga kutunza mazingira ikiwemo Sheria ya Mazingira Namba 20 ya mwaka 2004
.Pia mwaka 2009, Serikali ilipitisha Sheria Namba 11 ya rasilimali za maji na Sheria Namba 12 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ambazo kwa pamoja zinalenga kulinda na kutunza nyanzo vya maji
.Sheria hizi zinatoa adhabu, mfano katika kifungu cha 52(1) cha Sheria Namba 12 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira, kinatoa faini ya kiwango cha shilingi milioni moja au kifungo cha miezi 12 au vyote kwa pamoja kwa mtu yeyote atakayesababisha uchafuzi wa chanzo cha maji.
 



CHANZO MAJIRA GAZETI

0 comments: