Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Lukungu iliyopo Wilaya ya Missungi Mkoani Mwanza
wakifurahia kupokea vifaa vya michezo kutoka kampuni yaVodacom
walivyokabidhiwa ilikushiriki vema katika shughuli za michezo wawepo
shuleni. Vifaa vilivyotolewa ni jezi seti mbili za mpira wa soka, seti moja ya mpira wa pete, mipira na fulana za mazoezi.
Vifaa vilivyotolewa ni jezi seti mbili za mpira wa soka, seti moja ya mpira wa pete, mipira na fulana za mazoezi.
0 comments:
Post a Comment