HOME »
» ANGALIA CHEKA ALIVYOTINGA BUNGENI, PINDA, MWAKYEMBE WAJITOKEZA KUMPONGEZA
 |
WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKIWA NA BINGWA MPYA WA DUNIA WA WBF, FRANCIC CHEKA NA FRANCIS MIYEYUSHO WALIPOTEMBELEA BUNGENI |
 |
WAZIRI WA
UCHUKUZI, HARRISON MWAKYEMBE (WA PILI KULIA) AKISHOO LOVE KWA CHEKA,
WANAYEMPA MKONO NI GEORGE MKUCHIKA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI. |
|
|
 |
PICHA YA PAMOJA, CHEKA, MKEWE, PINDA NA MAPROMOTA WALIOONGOZANA NAYE BUNGENI. KUSHOTO NI MWALIMU WA NGUMI NCHINI, SUPER D. |
|
 |
CHEKA, MIYEYUSHO,
PROMOMOTA BAWAZIRI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MBUNGE MAARUFU
KATIKA MICHEZO, MAJI MAREFU BAADA YA KUTUA BUNGENI. PICHA ZOTE NA SUPER D |
0 comments:
Post a Comment