MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Saturday, 28 September 2013

MFUNGWA ANASWA AKIJIUZA

AIBU:MFUNGWA ANASWA AKIJIUZA-NI YULE MCHUMBA WA MTU ALIYEHUKUMIWA MIEZI 6 BAADA Mei mwaka huu kuhukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani kwa kosa la kufanya ukahaba, mkazi wa jijini Dar, Blandina Barton amekamatwa tena kwa kosa  hilohilo ikiwa ni mwezi mmoja kabla...

Tuesday, 24 September 2013

MPANGO WAKULIPUA BOMU ZANZIBAR DARAJANI WAFELI

Msaidizi wa Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar, Mkadam Khamis Mkadam Watu wasiofahamika bado, usiku wa kuamkia jana Jumatatu walitupa kitu kinachosadikiwa kuwa bomu lililokuwa katika mfano wa 'sausage' karibu na eneo la...

Friday, 13 September 2013

KUKU AIFIKISHA HALIMASHAURI MAHAKAMAIN

HALMASHAURI ya Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, imeshinda  kesi iliyofunguliwa na mkazi wa Kijiji cha Nyamakobiti, wilayani humo, Bw. Charari Chacha, akipinga halmashauri hiyo kuuza kuku wake kwa gharama ya sh. 1,000 baada ya kukataa kulipa mchango wa ujenzi wa...

MWALIMU ACHAPWA VIBOKO 30 NA MIAKA 30 JELA KWA KOSA LA KUMBAKA MWANAFUNZI MKOANI NJOMBE

Mahakama ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,imemhukumu kifungo cha miaka 30 gerezani na kuchapwa viboko 30 mwalimu wa shule ya msingi Ingwachanya. Mwalimu huyo Bw. Romanus Msango mkazi wa  Lupembe, wilayani Njombe, alitiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) na kumuumiza vibaya sehemu za siri.Akisoma...

Saturday, 7 September 2013

SERENGEIT FIESTER SEPTER 6 MBEYA 2013 YA FUNIKA KULIKO ZOTE TICKET ZILIISHA KABLA SHOW

  Ni show ambayo ticket zimeisha na inaingia kwenye list yangu ya show za Fiesta zilizovunja rekodi mwaka huu…. Thank you watu wangu wa nguvu Mbeya 87.8, sasa inafata zamu ya Iringa 92.9 Jumapili hii september...

WACHIMBA MIGODI (A.K )WAREJEA KAZINI AFRIKA KUSINI

  Wachimba migodi wanaounga mkono chama cha wafanyakazi nchini Afrika Kusini Wengi wa wachimba migodi wa dhahabu ambao wamekuwa wakigoma tangu Jumanne nchini Afrika Kusini wamerejea kazini baada ya...

ENGLAND YAIPASUA MOLDOVA 4-0 NA KUONGOZA KUWANIA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

England: Hart, Walker, Cole (Baines, 45), Cahill, Jagielka, Gerrard, Walcott, Lampard, Wilshere (Barkley, 59), Welbeck, Lambert (Milner, 70) Subs not used: Ruddy, Forster, Smalling, Carrick, Cleverley, Young, Sterling, Townsend, Defoe Goals: Gerrard 12, Lambert...

MATOKEO MENGINE MICHUANO YA KUWANIA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2014

Ghana 2 Zambia 1 Macedonia 2 Wales 1  Jordan 1 Uzbekistan 1 Russia 4-1 Luxembourg Czech Republic 1-2 Arme...

ANGALIA WAKAZI WA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE FURSA YA VIJANA NA CLOUDS MEDIA NDANI YA TEKU.

    Sehemu ya vijana waliojitokeza kwa wingi kwenye semina hiyo ya Fursa kwa vijana wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikijadiliwa ukumbini humo. Muwakilishi wa NSSF-Makao Makuu Bwa,Salim Khalfan akizungumza mbele ya vijana mbalimbali waliojitokeza...

SHULE YA MSINGI LUKUNG WILAYA YA MISUNGI MKOA WA MWANZA YA KABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lukungu iliyopo Wilaya ya Missungi Mkoani Mwanza wakifurahia kupokea vifaa vya michezo kutoka kampuni yaVodacom walivyokabidhiwa ilikushiriki vema katika shughuli za michezo wawepo shuleni.  Vifaa vilivyotolewa ni jezi seti mbili...

TAARIFA YA JWTZ KUHUSU USHIRIKI WAKE KWENYE OPERESHENI YA AMANI KONGO

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOSimu ya Upepo : “NGOME” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM  22150463      Telex : 41051   Sanduku la Posta 9203,DAR ESSALAAM.06 SepUshiriki wa Tanzania katika Operesheni ya Ulinzi wa Amani nchini DRC, unatokana na mgogoro kati...

Friday, 6 September 2013

ANGALIA CHEKA ALIVYOTINGA BUNGENI, PINDA, MWAKYEMBE WAJITOKEZA KUMPONGEZA

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKIWA NA BINGWA MPYA WA DUNIA WA WBF, FRANCIC CHEKA NA FRANCIS MIYEYUSHO WALIPOTEMBELEA BUNGENI WAZIRI WA UCHUKUZI, HARRISON MWAKYEMBE (WA PILI KULIA) AKISHOO LOVE KWA CHEKA, WANAYEMPA MKONO NI GEORGE MKUCHIKA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI. PICHA...

GARETH BALE KUANZIA BENCHI KATIKA TIMU YAKE YA TAIFA

  BALE MAZOEZINI NA WALES, JANA. Nyota mpya wa Real Madrid, Gareth Bale yuko tayari leo kuichezea timu yake ya taifa ya Wales katika mechi dhidi ya Macedonia itakayopigwa leo jioni katika mji wa Skopje, lakini huenda ‘akakalia ubao’. Bale ambaye ndiye mchezaji ghali...

ANGALIA PICHA ZOTE ZA VURUGU ZA BUNGE HAPO JANA NAFREEMAN MBOWE ALIVYO ONDOLEWA BUNGENI

Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi...