Tuesday 17 February 2015

Kufunguliwa kwa nchini liberia wasogezwa mbele kuhofia ugonjwa wa Ebola kusambaa zaidi

Liberia Ebola West Africa











Waziri wa elimu Liberia, Etmonia Tarpeh ametangaza  kufunguliwa kwa Shule zilizokuwa zimefungwa kwa zaidi ya miezi sita nchini humo kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Ufunguzi huo ulipangwa kufanyika February 2, lakini ulisogezwa mbele ili kupata nafasi ya kusambaza vifaa vya kutosha kwa ajili ya kufanyia usafi wa mazingira na vifaa vingine kwa shule za Serikali na binafsi.
150216-liberia-back-to-school-ebola-ef-1301_854b1393335af56521cde58485273c02 
Idadi ya wanafunzi walioripoti mashuleni siku ya jana February 16 imepungua, ili kuhakikisha usalama wa watoto hao michezo imepigwa marufuku ili kuepuka kugusana, pia vimechapishwa vipeperushi vya usalama vinavyowaonesha watoto hao jinsi ya kujilinda na maambukizi.
6124000-3x2-700x467
Shirika la Afya duniani (WHO) limesema idadi ya watu waliofariki kwa Ebola Liberia ni 3,800 tangu ulipotiwe kulipuka December 2013.

0 comments: