Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo
kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi
unaofanyika katika Chuo cha Taluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa
Huduma Bora Kwa Jamii”. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja
akisisitiza kwa Makamanda wa mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya
kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu hususani katika kushughulikia migogoro,
kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi
unaofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.
Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi












0 comments:
Post a Comment