Please join me to Salute another Tanzanian hero hapa Lagos Super Star Lulu Michael kwa kushinda tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki (Best Movie – East Africa) kupitia Mapenzi. Muigizaji huyo alijikuta akilia kwa furaha wakati akishukuru kushinda tuzo hiyo.at
"2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" ....SALUTE SISTER NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
0 comments:
Post a Comment