Saturday, 5 March 2016

FT: YANGA 2- 2 AZAM AKUNA MBABE

 
FT: Mpira umeishaaaaaa Yanga 2-2 Azam
Dk 88; Simon Msuva anakosa bao la wazi akiwa uso kwa uso, shuti lake jepesi linaokolewa na kipa wa Azam, Aishi Manula inakuwa kona, lakini hainamadhara. bado matokeo ni 2-2.

Dakika 82, Tambwe anatoka, nafasi yake inachukuliwa na Pato Ngonyani. matokeo bado Yanga 2-2 Azam

Dakika 72: Gooooooooo John Bocco anawapatia bao la pili Azam, akimalizia pasi ya Kipre Tchetche. Yanga 2-2 Azam

Kipindi cha pili kimeanza. Matokeo bado Yanga 2-1 Azam
Mpira ni Mapumziko Yanga 2- 1 Azam

Dakika ya 49: Ngoma anatoka nje kaumia

Dakika ya 45: zimeongezwa dakika 4

Dakika ya 41: Gooooooo Tambwe Yanga 2- Azam 1

Dakika ya 35 Kkipindi cha kwanza Yanga 1- 1 Azam
Dakika ya 29: Juma Abdul anasawazisha makosa yake kwa kuisawazishia timu yake ya Yanga goli. Dakika ya 29 ya kipindi cha kwanza, Azam 1-1 Yanga.
Dakika ya 19: Aishi Manula na Shomari Kapombe wanaokoa goli kwa ustadi katika lango la Azam. Azam 1-0 Yanga
Dakika ya 11 Goooo.. Kazi nzuri ya Kipre Tchetche inasababisha Juma Abdul kujifunga na kuipa Azam uongozi dhidi ya Yanga katika dakika ya 11. Azam 1-0


 r 

0 comments: