MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Saturday, 30 April 2016

Dk Philip Mpango: Serikali ya Kikwete haikukomba fedha Hazina

  ; WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, amesema Serikali ya Awamu ya Nne iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete haikukomba fedha katika Hazina kama ambavyo baadhi ya wabunge wamedai, hata Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF), lilifanya tathmini na...

Auawa na Mdogo wake Baada ya Kumfumania Akifanya Mapenzi na Mkewe

Mkazi wa Mahembo Manyanda Manyilizu (40) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mdogo wake baada ya kumfumania akiwa na mkewe. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Dismas Kisusi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi katika Kijiji cha Mawemilu. “Manyilizu...

Bunge lapitisha Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora 2016/2017

 0 Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amewasilisha bungeni bajeti ya wizara yake bungeni na kupitishwa na wabunge wengine. Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...

Wapinzani Waamua kuja na mbinu mpya ya kurusha matangazo ya bunge live

 ; Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni.  Hiyo ilitokea jana wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha...

Wafungwa Wanaosubiri Kunyongwa Magerezani Wafikia 465

IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994.  Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika mafunzo kwa waandishi wa habari mjini Morogoro...

Makonda Asema hataki kuwaona wasanii nyumbani kwake.......Ni Baada ya Kumtosa kwenye uzinduzi wa kampeni ya usafi

  ; Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema hataki kuwaona nyumbani kwake wasanii ambao wamekacha kuhudhuria kampeni yake ya usafi ambayo imezinduliwa Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam. Akizungumza katika uzinduzi huo,...

VAN GAAL - LEICESTER HAWAPATI UBINGWA MGONGONI KWA MAN UNITED OLD TRAFFORD!

  P l бесплатные аудиокниги LOUIS VAN GAAL ameionya Leicester City kwamba Wachezaji wa Manchester United hawatawaruhusu kutwaa Taji la Barclays Premier League, BPL, Ligi Kuu England, Uwanjani Old Trafford hapo Jumapili wakati Timu hizi zitakapokutana. Leicester,...