TIMU ya Sewe Sport imejiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa Kombe la Shirikisho, baada ya jana kuifunga Al Ahly ya Misri mabao 2-1 katika Fainali ya kwanza mjini Abidjan, Ivory Coast.
Mabao ya Sewe yalifungwa na Koffi Christian Kouame na Cedric Roger Assale wakati bao la ugenini la Ahly lilifungwa na Mahmoud Hassan.
Ahly sasa itahitaji ushindi wa 1-0 nyumbani katika mchezo wa marudiano wikiendi ijayo mjin Cairo ili kutwaa taji hilo.

0 comments:
Post a Comment