MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Sunday, 30 November 2014

MSICHANA ALIYEMTESA MTOTO HUKO UGANDA AFUNGUKA MAZITO

   Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo.  Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye kwa...

WATOTO WA OBAMA WAKOSOLEWA KWA MAVAZI YAO

     Rais Barrack Obama na wanawe sasha na malia.afisa mmoja wa chama cha Republican amewakosoa mavazi yao. Watoto wa rais wa Marekani Barrack Obama,Sasha na Malia wameshtumiwa kwa kukosa heshima na afisa mmoja wa chama cha Republican baada...

ANGALIA LIVE! DIAMOND PLATNUM AKICHUKUA TUZO ZA CHANNEL O SAUZ

TASWIRA ZA DIAMOND BAADA YA KUSHINDA TUZO   TUZO ALIZOSHINDA: Most Gifted East Video  Diamond Platnumz Most Gifted Newcomer Diamond Platnumz Most Gifted Afro Pop Video Diamond Platnumz ********* PICHA ZOTE NA MILLARDAYO.COM  KUTOKA...

KIPA YANGA SC APATA DHORUBA HADI KUPOTEZA FAHAMU UARABUNI

 KIPA wa zamani wa Yanga SC, Juma Mpongo jana ‘amechungulia kifo’ baada ya kupigwa na daluga la mchezaji mwenzake uwanjani kiasi cha kuzimia kwa zaidi ya saa nne.Mpongo anayedakia Seeb ya Muscat, Oman alizimia jana dakika ya 70 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Boshar...

AL AHLY WAPIGWA 2-1 FAINALI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO

TIMU ya Sewe Sport imejiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa Kombe la Shirikisho, baada ya jana kuifunga Al Ahly ya Misri mabao 2-1 katika Fainali ya kwanza mjini Abidjan, Ivory Coast.Mabao ya Sewe yalifungwa na Koffi Christian Kouame na Cedric Roger Assale wakati bao...

Saturday, 29 November 2014

Break News Ajali ya helkopta Ukonga watu wanne wamefariki.

Ajali ya helkpta imetokea mda huu maeneo ya ukonga jijini Dar na insadikiwa watu wanne kupoteza maisha bari kamili inakuj aaaa ...

BRANDAO APATA KIFUNGO CHA JELA MWEZI MMOJA

Mshambuliaji wa klabu ya League 1 ya nchini Ufaransa ya Bastia Brandao amepewa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja jela kufuatia kumtwanga kichwa kiungo wa klabu ya PSG, Thiago Motta, tukio lilotokea kwenye mchezo wa ligi hiyo. Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 34 sasa, tayari...

MFUNGJI BORA WA MABAO NCHINI KENYA ATUA DAR KIMYA KIMYA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Daniel Muzeyi ‘Dan’ Sserunkuma yupo Dar es Salaam tangu juzi akifanya mazungumzo na klabu ya Simba SC.Sserunkuma amefikia katika hoteli moja maarufu Kariakoo, Dar es Salaam kwa ugeni wa kimichezo, Sapphire Court na inaelezwa mazungumzo...

DI MARIA ATOA SIRI KUHUSU MECHI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA

 Kiungo nyota wa Manchester United, Angel Di maria ameeleza machungu yake ya kutocheza Ligi ya Mabingwa Ulaya na kusema, kamwe huwa haangalii mechi hizo. Di Maria ambaye ni mchezaji ghali zaidi England amesema wakati wa mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, amekuwa...

Friday, 28 November 2014

Tibaijuka:''Nilipokea pesa za Escrow'' SOM HAPA UONE YALIYOMO"""""""

Jump media player Media player help Out of media player. Press enter to return or tab to continue. Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki Kuu ya Tanzania umezidi kuunguruma nchini Tanzania kufuatia taarifa...

MOSOTI SASA APATA MKATABA WA KUJIUNGA NA TUSKER FC YA KENYA

ALIYEKUWA beki wa Simba SC ya Tanzania, Donald Mosoti ametia mkataba wa miaka miwili na mabingwa mara kumi wa ligi kuu ya taifa la Kenya, Tusker FC. Kocha wa Tusker Francis Kimanzi  ameu ambia mtandao huukuwa amemsajili Mosoti kwa uzoefu wake na sasa anasubiri tu msimu...

KUMBE: PEZA ZA A ESCROW ZINGEWEZA KUJENGA VIWANJA VYA KIMA TAIFA ZAIDI YA VITANO (5)

   GUMZO kubwa kwa sasa nchini ni wizi wa jumla ya shilingi bilioni 306 zilizoibiwa kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow. Uchotaji wa fedha kwenye akaunti hiyo, umetikisa nchi ikiwa ni pamoja na kuwataja vigogo mbalimbali wakiwemo wakubwa serikalini. Ripoti...