Polisi wakiwa katika ulinzi mkali
Maduka yakiwa yamefungwa
Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia
Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....
Vurugu zimezuka katika eneo la maduka Mwanjelwa, Mbeya baada ya wafanyabiashara kutilia ngumu kununua mashine za TRA na hivyo kulazimisha kufungwa kwa maduka ya eneo hilo. Polisi walilipua mabomu ya kutoa machozi ili kuwatawanya watu. Picha zilizopachikwa hapo ni za tukio husika kutoka Mbeya Yetu blog, kutizama picha zaidi.
0 comments:
Post a Comment