MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Sunday, 5 October 2014

Angalia taswira mbalimbali za sala ya Eid Al-Adhw-Haa 2014 Ughaibuni

Waumini wa dini ya kiislamu hapa nchini marekani na baadhi ya nchi za ulaya na uwarabuni leo wameunhana pamoja kusali sala ya Eid baada ya kukamilika ibada ya Hija huko Maka nchini Saudi Arabia.

Waumini wa Jumaiya ya kiIslamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa, iliosaliwa  mapema asubuhi ya saa Moja Nanusu ya Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
IMG_8318
Nchini Uingereza: Waumini wa wakiwa katika Sala sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku yaJumanne Oct 4, 2014  Coventry Nchini Uingereza
Nawao pia hawakukanyuma baadhi ya kina Dada wa Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 katika Msikiti wa Islamic Center Uliopo maeneo ya New Hampshire Maryland nchini Marekani.
Waumini waTanzania nchini India wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014
Dj Moody akipata picha ya pamoja na Hudhaifa Shatry pamoja na Cheif wa swahilivilla Blog mara tu baada ya kusali sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland U.S.
Muazilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation Faria Zam a.k.a ( Ferry Butcher) akipata picha ya pamoja na Waumini wa Coventy Way Hansloe, Nchini Uingereza mara tu baada ya kumaliza kusali Sala ya Eid Al Hajj.
 
 

Wahitimu wa CBE waadhimisha miaka 50 ya chuo hicho jijini Mbeya


19
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu muhimu wa kuwaalika wahitimu wote kukutana pamoja pia aliongeza kuwa CBE ni chuo cha Kuigwa kwa sababu hata Viongozi baadhi yao Tanzania wamesoma katika Chuo hicho mfano Omar Kingi Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Stagomena Tax Katibu Mtendaji SADC, Harry Katillya aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Suzan Kaganda-RPC Tabora, Dkt. Ramadhani Dau Mkurugenzi Mtendaji NSSF na Graciano Kanzugala Mwenyekiti wa TCCIA kanda za nyanda za juu Kusini , Alimalizia kwa Kuzindua umoja huo wa wanafunzi na kusema CBE ni chuo ambacho kimezalisha wataalam wengi .
Mwisho alizindua Rasmi Umoja wa wana CBE waishio nyanda za Juu kusini mkutano uliofanyika Tarehe 4.10.2014.
26
1
 Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. John Mwakipesile akisaini kitabu cha wageni wakati akiingia katika Mkutano huo.
9
Meza kuu.
2
 
Muongozaji wa Mkutano MC Bwana Ben akiwa anatoa Muongozo wakati wa Mkutano huo.
3
Mkuu  wa Chuo Cha Elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya Ndugu Deonise Lwanga akitoa utambulisho pamoja na Kumkaribisha Mkuu wa Vyuo vyote vya CBE Tanzania.
4
 Mkuu wa Vyuo vyote vya Elimu ya Biashara (CBE ) Profesa Emmanuel Mjema akitoa nasaha zake na kueleza malengo makuu ya Mkutano huo, alieleza kuwa wanafunzi waliowahi kusoma katika Chuo cha CBE kuwa ni Mabalozi wazuri ambao ndio wanaweza kukitangaza vyema chuo hicho kwa kuwa wao ndio wanajua vyema chuo hicho, aliongeza kuwa wanafunzi waliowahi kusoma katika Chuo cha CBE wanasaidia chuo kwa kutoa mrejesho wa chuo hicho,pia inasadia katika Elimu, na aliongeza kuwa Alumni ni muhimu katika maswala ya kuandaa Semina, Makongamano na mambo kama hayo, Mwisho Alimshukuru Mgeni Rasmi kwa kukubali mwaliko na kujumuika katika Mkutano huo pamoja na wanachuo wote waliowahi kusoma katika chuo cha CBE.
DSC00234
Makamu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) , Mipango, Fredha na Utawala Dkt. Peter Msami akitoa Salamu za Shukurani kwa niaba ya chuo cha CBE.
5
 Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo cha CBE Bwana John Mwangobola akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa Mkutano huo.
30
Mwenyekiti wa kwanza wa Umoja wa wana CBE waishio Nyanda za juu Kusini ambao umezinduliwa rasmi tarehe 04.10.2014 Bwana Boyd Faustin Mwakyusa akitoa neno la Shukurani Baada ya uteuzi huo.
DSC00072
Msimamizi wa Taaluma kutoka Chuo cha CBE Kampasi ya Mbeya Bwana Kayombo akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo.
unnamed
Viongozi wa kwanza wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini wakiwa pamoja na Mlezi wao Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. John Mwakipesile wa nne Kutoka Kushoto Mara baada ya Uchaguzi huo.
DSC00214
11
DSC00202
Washiriki wakiwa wanafuatilia Mkutano kwa umakini.
48
Picha ya pamoja.
 
 

BPL :CHELSEA BADO YAINDELEA KUONGOZA LIGI ,YAITWANGA ARSENAL 2-0

 PrintPDF
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Oktoba 5
Man United 2 Everton 1
Chelsea 2 Arsenal 0
Tottenham 1 Southampton 0
1815 West Ham v QPR

CHELSEA 2 ARSENAL 0
Chelsea striker Diego Costa
Chelsea wameendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu England walipoichapa Arsenal Bao 2-0 huko Stamford Bridge hii Leo.Mechi hii ilichelewa kuanza kwa Dakika 15 kwa sababu za kiusalama baada ya baadhi ya Mashabiki kurusha Fataki kabla Mechi haijaanza.
Na ilipoanza ikatosha rabsha baada ya Mameneja wa Timu hizo, Jose Mourinho na Arsene Wenger, kukwaruzana wakati Wenger alipochukizwa baada ya Mchezaji wake Alexis Sanchez kuchezewa Rafu na Gary Cahill ambae alipewa Kadi ya Njano na Refa Martin Atkinson.
Chelsea walilazimika kumbadili Kipa wao Courtois katika Dakika ya 24 na kumwingiza Petr Cech baada ya Kipa huyo kugongana na Alexis Sanchez muda mfupi kabla.
Chelsea walifunga Bao lao la kwanza katika Dakika ya 27 kwa Penati ya Eden Hazard iliyotokana na Laurent Koscienly kumchezea Rafu Hazard na kupewa Kadi ya Njano.
Dakika ya 77, bonge la Pasi ndefu ya Fabregas mbele ilishushwa kifuani na Diego Costa na kukabiliana na Kipa Szczesny na kumvisha kanzu kuandika Bao la Pili kwa Chelsea.
VIKOSI:
CHELSEA: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta; Matic, Fabregas; Schurrle, Oscar, Hazard; Diego Costa
Akiba: Cech, Zouma, Filipe Luis, Mikel, Willian, Salah, Remy.
ARSENAL: Szczesny; Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Wilshere, Flamini; Cazorla, Ozil, Sanchez; Welbeck
Akiba: Martinez, Monreal, Coquelin, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Podolski
REFA: Martin Atkinson
 Chelsea striker Diego Costa
TOTTENHAM 1 SOUTHAMPTON 0
Wakicheza kwao White Hart Lane, Tottenham wameifunga Southampton Bao 1-0.
Bao la Tottenham lilifungwa na Christian Eriksen katika Dakika ya 40.
VIKOSI:
TOTTENHAM: Lloris, Naughton, Kaboul, Vertonghen, Rose, Capoue, Mason, Lamela, Eriksen, Chadli, Adebayor
Akiba: Soldado, Vorm, Dier, Townsend, Kane, Dembélé, Fazio
SOUTHAMPTON: Forster, Clyne, Fonte, Alderweireld, Bertrand, Davis, Wanyama, Schneiderlin, Tadic, Pellè, Mané
Akiba: Davis, Gardos, Long, Cork, Mayuka, Reed, Targett
REFA: Mike Jones
MSIMAMO
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
7
14
19
2
Man City
7
7
14
3
Southampton
7
6
13
4
Man United
7
3
11
5
Swansea
7
2
11
6
Tottenham
7
2
11
7
Arsenal
7
2
10
8
Liverpool
7
0
10
9
Aston Villa
7
-5
10
10
Hull
7
0
9
11
Leicester
7
-1
9
12
Sunderland
7
1
8
13
West Brom
7
-1
8
14
Crystal Palace
7
-2
8
15
Stoke
7
-2
8
16
West Ham
6
0
7
17
Everton
7
-3
6
18
Newcastle
7
-7
4
19
Burnley
7
-7
4
20
QPR
6
-9
4
RATIBA-Mechi zijazo:
 Saa za Bongo
Jumamosi Oktoba 18
1445 Man City V Tottenham
1700 Arsenal V Hull
1700 Burnley V West Ham
1700 Crystal Palace V Chelsea
1700 Everton V Aston Villa
1700 Newcastle V Leicester
1700 Southampton V Sunderland
Jumapili Oktoba 19
1530 QPR V Liverpool
1800 Stoke V Swansea
Jumatatu Oktoba 20
2200 West Brom v Man United Arsene Wenger and Jose Mourinho

LIGI KUU VODACOM: MTIBWA AONGOZA LIGI NA YANGA IPO NAFASI YA 3!

RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Oktoba 5
Yanga -2 JKT Ruvu- 1
Mtibwa Sugar -1 v Mgambo JKT -0

Hii Leo, huko Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Yanga wameichapa JKT Ruvu Bao 2-1 na kukwea hadi Nafasi ya 3 ya Ligi Kuu VodacomYANGA_MJENGO
Yanga walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 32 kupitia Kelvin Yondani na Bao hilo kudumu hadi Haftaimu.
Dakika ya 73, Haruna Niyonzima aliipatia Yanga Bao la Pili lakini JKT Ruvu walipata Bao lao moja katika Dakika za mwishoni Mfungaji akiwa Jabir Aziz.
Hadi mwisho, Yanga 2 JKT Ruvu 1.
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Oktoba 18
Polisi Moro v Mtibwa Sugar
Ndanda FC v Ruvu Shooting
Kagera Sugar v Stand United
Coastal Union v Mgambo JKT
Mbeya City v Azam FC
Yanga v Simba
Jumapili Oktoba 19
Prisons v JKT Ruvu

NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mtibwa Sugar
3
2
1
0
5
1
4
9
2
Azam FC
2
2
0
0
5
1
4
7
3
Yanga
3
2
0
1
4
4
0
6
4
Mbeya City
3
1
2
0
1
0
1
5
5
Tanzania Prisons
3
1
1
1
3
2
1
4
6
Kagera Sugar
3
1
1
1
3
2
1
4
7
Coastal Union
3
1
1
1
4
4
0
4
8
Stand United
3
1
1
1
3
5
-2
4
9
Ndanda FC
3
1
0
2
6
6
0
3
10
Simba
3
0
3
0
4
4
0
3
11
Mgambo JKT
2
1
0
1
1
1
0
3
12
Polisi Moro
3
1
1
1
3
5
-2
2
13
JKT Ruvu
3
0
1
2
1
4
-3
1
14
Ruvu Shooting
3
0
1
2
0
4
-4
1
MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumamosi Oktoba 4
Polisi Moro 1 Kagera Sugar 1
Coastal Union 2 Ndanda FC 1
Simba 1 Stand United 1
Prisons 0 Azam FC 0
Ruvu Shootings 0 Mbeya City 0
Septemba 28
JKT Ruvu 0 Kagera Sugar 2
Yanga 2 Prisons 1
Septemba 27
Simba 1 Polisi Moro 1
Azam FC 2 Ruvu Shooting 0
Mbeya City 1 Coastal Union 0
Mgambo JKT 0 Stand United 1
Mtibwa Sugar 3 Ndanda FC 1
Septemba 20
Azam FC 3 Polisi Moro 1
Mtibwa Sugar 2 Yanga 0
Stand United 1 Ndanda FC 4
Mgambo JKT 1 Kagera Sugar 0
Ruvu Shooting 0 Tanzania Prisons 2
Mbeya City 0 JKT Ruvu 0
Septemba 21
Simba 2 Coastal Union 2