Sunday, 1 May 2016

RAIS MAGUFULI AMPANDISHA CHEO TRAFFIC ALIYEMKAMATA MKE WA WAZIRI MAHIGA

Inasemekana kwamba Mke wa Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania, Mama Mahiga alimtukana askari wa usalama barabani baada ya dereva wa mama huyo kutenda kosa. Tukio hilo ambalo taarifa yake ilifika mezani kwa Mheshimiwa Rais John Magufuli limemfanya Rais kuamuru trafiki huyo kupandishwa cheo huku akisisitiza hakuna mtu aliye juu ya sheria. Bonyeza na kuyasikiliza maongezi ya simu kati ya trafiki huyu na mkuu wake wakati akiripoti tukio hilo.

0 comments: