MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Sunday, 21 February 2016

Wakenya wagawanyika kuhusu ushindi wa Museveni

Image copyrightUhuru Kenyatta FacebookImage captionRais Museveni na Rais Kenyatta mwezi Oktoba mwaka 2015 Muda mfupi baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Uganda, ujumbe wa Rais Uhuru Kenyatta akimpongeza kwa ushindi wake ulipakiwa kwenye...

Bandari ya Tanga Yaamriwa Kurejesha Mita za Kupimia Mafuta

Serikali imetoa wiki moja kwa Mamlaka ya Usimamisi wa Bandari(TPA) mkoa wa Tanga kuhakikisha inarejesha tena matumizi ya mita ya kupimia mafuta (Flow Meters), kabla ya shehena ya meli ya mafuta kutia nanga bandarini hapo. Hatua hiyo ya serikali inafuatia uamuzi wa...

Rafiki Yangu Ameniomba Nilale na Mume Wake Nipate Mimba Niwazalie Mtoto.....

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija ninakoishi anafikia kwangu.Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa, jana wakati tuna kula akaniomba...

Wata Watatu Watiwa Mbaroni Kwa Kuvamia Kituo Cha Polisi Na Kuvunja Mlango Ili Kuwatoa Wenzao

Watu watatu wamekamatwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuvamia Kituo cha Polisi cha Duthumi na kuvunja mlango kwa lengo la kuwatoa wenzao watatu wanaotuhumiwa kwa wizi wa mifugo. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Graifton Mushi alisema jana kuwa tukio...

ACT Wazalendo Chamvua Uanachama Aliyekuwa Mgombea Urais Zanzibar Kwa Kuhudhuria Vikao Vya ZEC

  Chama cha ACT Wazalendo kimemsimamisha uanachama Ofisa Mipango wake, Ali Makame Issa kwa madai ya kukiuka maadili ya chama hicho.Hata hivyo, Issa alisema jana kuwa hajapokea taarifa yoyote kutoka katika chama hicho.Hatua hiyo dhidi ya kiongozi huyo mwandamizi...

Saturday, 20 February 2016

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu Atangaza Oparesheni Kamata Bodaboda Nchi Nzima

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amewaagiza makamanda wa Polisi kote nchini, kuendesha oparesheni kali ya kuwachukulia hatua za kisheria, waendesha bodaboda wasiotii sheria za usalama barabarani. Ametaja makosa yatakayosababisha waendesha bodaboda...

ANGALIA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO ZA LIGI KUU TANZANIA BARA

Wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Simon Msuva (katikati) wakishangilia ushindi wao wa bao 2-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Dar Derby uliopigwa kwenye uwanja wa taifa February 20, 2016 Yanga imefuta rekodi ya kocha Jackson Mayanja ya ushindi mfululizo baada ya kupata ushindi...