Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya uchaguzi nchini Uganda yanaonesha kuwa Rais Yoweri Museveni kwa tiketi ya NRM anaongoza akiwa na zaidi ya kura milioni 1.3 sawa na asilimia 62.03.
Anayefuata ni Kizza Besigye kwa tiketi ya chama cha FDC asilimia 33.46 huku Waziri Mkuu wa zamani wa Uganda, Amama Mbabazi akionekana kushindwa.
0 comments:
Post a Comment