Sunday, 8 February 2015

MRISHO NGASSA AIPANDISHA YANGA KILELENI, ‘AIUA’ MTIBWA!!


 Mrisho Ngassa, Leo hii ndani ya Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam alifunga Bao 2 na kuipa ushindi Yanga wa Bao 2-0 walipoilaza Mtibwa Sugar kwenye Mec hi pekee ya Ligi Kuu Vodacom.

Hadi Mapumziko, ngoma ilikuwa Droo 0-0.
Kipindi cha Pili, Dakika za 56 na 63, Mrisho Ngassa, ambae alianzia Benchi kwenye Mechi hii na kuingizwa Kipindi cha Pili kuchukua nafasi ya Straika kutoka Liberia Khpar Sherman, aliwapa furaha Washabiki wa Yanga kwa kupachika Mabao ambayo yamewafanya wawatambuke Mabingwa Watetezi Azam FC na kutwaa tena uongozi wa Ligi Kuu Vodacom.
Baada ya Mechi 13, Yanga wana Pointi 25 wakifuatiwa na Azam FC wenye Pointi 22 kwa Mechi 12.
Ligi itaendelea Jumatano Februari 11 kwa Mechi 3 ambapo Azam FC watacheza na Mtibwa Sugar huko Azam Complex Jijini Dar es Salaam wakati Yanga pia watakuwa Jijini Dar es Salaam Uwanja wa Taifa kucheza na Ndanda FC huku huko Tanga Mgambo JKT watacheza na Simba.
RATIBA:
Jumatano Februari 11
Azam FC v Mtibwa Sugar
Mgambo JKT v Simba
Yanga v Ndanda FC
Jumamosi Februari 14
Polisi Moro v Simba          
Ndanda FC v Mtibwa Sugar                  
Coastal Union v Mbeya City                  
Stand United v Mgambo JKT                 
Kagera Sugar v JKT Ruvu            
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
GD
PTS
1
Yanga
13
7
4
2
15
7
8
25
2
Azam FC
12
6
4
2
17
10
7
22
3
Polisi Moro
14
4
7
3
12
11
1
19
4
JKT Ruvu
14
5
4
5
14
14
0
19
5
Ruvu Shooting
14
5
4
5
10
11
-1
19
6
Mtibwa Sugar
12
4
6
2
13
9
4
18
7
Coastal Union
14
4
6
4
10
9
1
18
8
Kagera Sugar
14
4
6
4
11
11
0
18
9
Simba
13
3
8
2
13
11
2
17
10
Mbeya City
13
4
4
5
9
11
-2
16
11
Ndanda FC
14
4
3
7
13
18
-5
15
12
Mgambo JKT
12
4
2
6
6
11
-5
14
13
Stand United
14
2
6
6
9
17
-8
12
14
Tanzania Prisons
13
1
8
4
10
12
-2
11
++++++++++++++++++++++++++
MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumamosi Februari 7
Polisi Moro 2 Azam FC 2             
Coastal Union 0 Simba 0
Prisons 1 Ruvu Shootings 1                  
JKT Ruvu 1 Mbeya City 1  
Ndanda FC 1 Stand United 1                
Kagera Sugar 1 Mgambo JKT 0   
Jumatano Februari 4
Coastal Union 0 Yanga 1
Jumapili Februari 1
Yanga 0 Ndanda FC 0
Ruvu Shooting 2 Stand United 1

VIPORO
Februari 21
Mbeya City na Yanga (Mbeya)
Februari 25
Mtibwa Sugar na Tanzania Prisons (Morogoro)
Februari 28
Simba na Mtibwa Sugar (Dar es Salaam)
Machi 4
Ruvu Shooting na Azam (Pwani)
JKT Ruvu na Yanga (Dar es Salaam).
Mtibwa Sugar na Polisi Morogoro (Morogoro)
Machi 8
Simba na Yanga (Dar es Salaam)
Machi 11
Azam na Mbeya City (Dar es Salaam)
Yanga na Kagera Sugar (Dar es Salaam)
Machi 18
Azam na Ndanda (Dar es Salaam)
Yanga na Stand United (Dar es Salaam)
Aprili 8
Simba na Tanzania Prisons (Dar es Salaam).


0 comments: