Tuesday, 17 February 2015

ANGALIA SIMBA UKAWA WALIYOKAMATWA MATUNGULI MOROGORO


2 
KIKUNDI Maarufu cha wanachama walioasi wa klabu ya Simba, Simba Ukawa, jana kilikuja na matunguli katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro, Mnyama akishinda mabao 2-0 na hali hiyo ilisababisha Simba wenyewe kwa wenyewe wapigane wakipinga imani hizo za kishirikiana 
 
.Matunguli hayo yaliyokuwa yanatisha kuyatazama yalikamatwa kabla ya mechi na kuzua tafrani miongoni mwa wadau wa soka waliofurika uwanja wa Jamhuri. Huu ni muendelezo wa imani za kishirikina katika soka la Bongo.
 
Wadau wakiwa wameyakamata Matunguli

0 comments: