KIKUNDI Maarufu cha wanachama walioasi wa klabu ya Simba,
Simba Ukawa, jana kilikuja na matunguli katika uwanja wa Jamhuri Mkoani
Morogoro, Mnyama akishinda mabao 2-0 na hali hiyo ilisababisha Simba
wenyewe kwa wenyewe wapigane wakipinga imani hizo za kishirikiana
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Tuesday, 17 February 2015
Kufunguliwa kwa nchini liberia wasogezwa mbele kuhofia ugonjwa wa Ebola kusambaa zaidi
Waziri wa elimu Liberia, Etmonia Tarpeh
ametangaza kufunguliwa kwa Shule zilizokuwa zimefungwa kwa zaidi ya
miezi sita nchini humo kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Ufunguzi huo ulipangwa kufanyika
February 2, lakini ulisogezwa mbele ili kupata nafasi ya kusambaza vifaa
vya kutosha kwa ajili ya kufanyia usafi wa mazingira na vifaa
vingine kwa shule za Serikali na binafsi.
Idadi
ya wanafunzi walioripoti mashuleni siku ya jana February 16 imepungua,
ili kuhakikisha usalama wa watoto hao michezo imepigwa marufuku ili
kuepuka kugusana, pia vimechapishwa vipeperushi vya usalama
vinavyowaonesha watoto hao jinsi ya kujilinda na maambukizi.
Shirika
la Afya duniani (WHO) limesema idadi ya watu waliofariki kwa Ebola
Liberia ni 3,800 tangu ulipotiwe kulipuka December 2013.
Wasichana wengi nchini Malawi wa olewa chini ya umri miaka 18
Malawi ni moja ya nchi ambazo zina
tatizo kubwa la ishu ya ndoa za utotoni, tafiti zinaonyesha karibu nusu
ya wasichana wa nchi hiyo wameolewa wakiwa hawajatimiza miaka 18.
Kutokana na kuendelea kwa tatizo hilo la
ndoa za utotoni, Malawi wamepitisha sheria mpya kuanzia sasa umri
sahihi wa mtoto wa kike kuolewa ni kuanzia miaka 18.
“Sheria hii itasaidia kulinda haki za watoto wetu wa kike.. Hawatakiwi kuozwa wakiwa kwenye umri wa kuwa shule..“– alisema Jessie Kabwila ambaye ni msemaji wa Chama cha Upinzani cha MCP.
Sunday, 8 February 2015
MRISHO NGASSA AIPANDISHA YANGA KILELENI, ‘AIUA’ MTIBWA!!
Mrisho Ngassa, Leo hii ndani ya Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam alifunga Bao 2 na kuipa ushindi Yanga wa Bao 2-0 walipoilaza Mtibwa Sugar kwenye Mec hi pekee ya Ligi Kuu Vodacom.
Saturday, 7 February 2015
VPL: LEO SAREZA TAWALA MICHEZO 5 AZAM FC WARUDI KILELENI!!
Polisi Moro 2 Azam FC 2
Coastal Union 0 Simba 0
Prisons 1 Ruvu Shootings 1
JKT Ruvu 1 Mbeya City 1
Ndanda FC 1 Stand United 1
Kagera Sugar 1 Mgambo JKT 0
Real Madrid yanyeshewa mvua ya mabao ya kutoka kwa Atletico
Baada ya kushindwa kupata ushindi katika mechi 5 mfululizo dhidi ya wapinzani wao wa jadi kabisa – Real Madrid leo walivuka kutoka upande mmoja wa mji wa Madrid na kwenda mpaka katika dimba la Vicente Carlderon pembezoni mwa jiji la Madrid kucheza dhidi ya Atletico Madrid.
Mchezo huo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa timu zote mbili umemealizika kwa Madrid kupata kipigo kizito kabisa katika kipindi cha miezi 12 iliyopita – kwa kufungwa 4-0.
Magoli ya Atletico Madrid yalifungwa na Tiago, dakika ta 14, Ñíguez dakika ya 18, Griezmann akaongeza 67 kabla ya Mandzukic kuongeza dakika za mwisho za mchezo huo.
Hii ni mechi ya sita mfululizo Madrid wanashindwa kupata matokeo chanya dhidi ya wapinzani wao.