MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Sunday, 11 January 2015

EPL: SOTON WAVUNJA REKODI YA MIAKA 27 DHIDI YA MANCHESTER UNITED

  Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo kwa michezo miwili kucheza katika viwanja tofauti nchini humo – moja ya mechi ilikuwa inawakutanisha timu zinazogombania kuendelea kuwemo kwenye 4 bora – Man United vs Southampton. Mchezo huo uliopigwa kwenye...

SERIKALI YATOA SHILLINGI MILLIONI 21 MIKOPO KWA AJIRI YA VIJANA

Serikali imewataka vijana kuitumia vyema mikopo wanayopata katika kuteketeza miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa  Ufutiliaji na Tathimini  toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi.Verdiana...

MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake. Na Nathaniel Limu, Singida POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto...

TRA MKOA WA SINGIDA, YATOA MSAADA WA MADAWATI WILAYA YA MKALAMA

Meneja TRA mkoa wa Singida, Samson Jumbe (kushoto) akimkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Isanzu wilaya ya Mkalama, Sadick Mbiro Abdallah, msaada wa madawati 25 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Katikati mwenye miwani ni Afisa elimu kwa umma (TRA),Zakaria. (Picha...

NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MIRADI YA MAJI MIWILI KATIKA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI.

NA  Naibu waziri wa maji na Mbunge wa jimbo la mvomero Mh, Amos Makala amezindua miradi ya maji miwili ilioko katika wilaya ya Mbeya, mmoja umejengwa katika kata ya tembela kijiji cha galijembe na mmoja umejengwa katika kata ya Igale na Shongo. Aidha...

Friday, 9 January 2015

Stars maboresho kuivaa Rwanda

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kitacheza mechi ya kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda itakayofanyika Januari 22 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mechi hiyo ni sehemu ya programu ya Kocha Mart Nooij kuiandaa timu hiyo kwa ajili ya mechi za mchujo michuano...

Bangi yamtia jela mwanawe Jackie Chan

Jackie chan na mwanawe Jacee Chan Jacee Chan mwana wa mwana nyota wa filamu Jackie Chan amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kutumia mihadarati. Chana mwenye umri wa miaka 32 alikiri kufanya makosa hayo katika mahakama ya wiliaya ya mjini Beijing Dongcheng kwa kuwaficha...

Washukiwa wa mauaji Ufaransa wauawa

Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimeripoti kwamba washukiwa wawili waliohusika na mauaji ya Charlie Hebdo wameuawa. Wawili hao walisakwa kwa siku mbili na polisi baada ya kutoroka baada ya kuwaua wandishi habari wa jarida la Charlie Heblo. Maafisa wa usalama walivamia...

WillY m -- Hope u need me( official video)

...