HOME »
» NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MIRADI YA MAJI MIWILI KATIKA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI.
NA
Naibu waziri wa maji na Mbunge wa jimbo la mvomero Mh, Amos Makala amezindua miradi ya maji miwili ilioko katika wilaya ya Mbeya, mmoja umejengwa katika kata ya tembela kijiji cha galijembe na mmoja umejengwa katika kata ya Igale na Shongo.
Aidha Makala ameahidi kupeleka shilingi milioni mia moja tisini na tano katika kata ya Iwindi wilaya ya Mbeya vijijini ikiwa fedha hizo anatarajia kutok serikalini.
0 comments:
Post a Comment