MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Sunday, 24 July 2016

Vikongwe wawili wauawa kwa tuhuma za uchawi

Picha na makitaba Vikongwe wawili mke na mumewe wa Kitongoji cha Nyag’holongo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wameuawa kwa kutumia silaha za jadi na watu wasiojulikana wakituhumiwa kuwa ni wachawi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Isack Msengi...

Askofu Gwajima amjibu,Yusuf Makamba aliyemuita muongo

  Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa na siyo vibajaji na maguta.  Akihubiri katika kanisa lake jana, Gwajima...

Diwani Akwepa Risasi sita akipambana na majambazi Moshi

Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na majambazi waliokuwa na silaha za moto.  Alinusurika kuuawa baada ya majambazi hao waliokuwa na bunduki na bastola kumfyatulia risasi sita...

Mtandao wa haki za binadamu walia na Jeshi la Polisi

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umelitaka Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuwafikisha mahakamani wanachama wake wanne linaowashikilia kwa siku 12 sasa.  Mtandao huo umedai kuwa watu saba wilayani Longido wanatuhumiwa kutoa taarifa kwa...

Kapombe afuata nyayo za Messi, Aguero

Category:  First Team Team:  Azam FC U NAWEZA ukashangazwa lakini huu ndio utambulisho mpya wa beki wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, ambaye ameamua kuja na staili mpya ya kufuga ndevu zake...

Martial kuchukizwa kwa namba yake ya jezi kupewa Ibrahimovic

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Zlatan Ibrahimovic ambaye kajiunga na Man United msimu huu akitokea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa kama mchezaji huru, jina lake linazidi kuingia kwenye headlines baada...

Lulu Michael Afunguka Kuhusu Chama Anachokifagilia Bongo....

Alipoulizwa yeye shabiki wa chama gani cha siasa?, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijibu hivii; "Mimi sina chama, ndiyo maana hata katika kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana, sijaonekana kwenye jukwaa lolote. Miye naamini kura ni siri na nilifanya hivyo ili nisifungamane na upande...

Kauli ya CHADEMA baada ya wanachama wake kutangaza kujiunga CCM

Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM jana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kiliwapoteza wanachama wake watatu baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM). Wanachama hao waliokihama chama hicho ni Fred Mpendazoe ambaye alikuwa mwanachama...

Saturday, 23 July 2016

Bei ya jezi za nyumbani za Man United watakazovaa 2016/2017

Baada ya Man United kutambulisha jezi zao za ugenini zenye rangi ya blue watakazotumia katika msimu wa 2016/2017, leo Jumamosi ya July 23 Man Unitedwametambulisha rasmi tena jezi zao mpya watakazotumia katika mechi za nyumbani. Jezi za...

Alichokiandika Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kupewa uenyekiti wa CCM

Leo July 23 2016  Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM   baada ya kupigiwa kura za ndio 2398  kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika Baadhi...

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kufunguliwa Kwa Mfumo Wa Udahili Wa Pamoja (CAS) Unaoratibiwa Na NACTE

Na Kutangazwa Kwa Majina Ya Waombaji Udahili Waliochaguliwa Kujiunga Na Kozi Za Cheti Na Diploma Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada...

DEAL DONE: Pogba Avunja Rekodi ya Uhamisho wa Dunia

WAZUNGU wanasema kwa Kiingereza chao, Deal done. Yaani biashara imekwishamalizika. Watu wananyanyuka katika viti vyao, wanapeana mikono, wanakumbatiana, wanaondoka. Uhamisho wa Paul Pogba inasemekana umemalizika.Manchester United imefanikiwa kumnasa kiungo huyo mahiri...

Friday, 22 July 2016

Vigogo wote Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Watumbuliwa MAJIPU

  SERIKALI imemuondoa katika nafasi yake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Gerald Kamwenda na wakurugenzi wenzake, katika jitihada za kufumua na kusuka upya shirika hilo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, ametangaza hatua hiyo...