Kutoka zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein Atangazwa Rasm Mshindi wa Urais Zanzibar Kwa Asilimia 91
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha amemtangaza Rais Mgombea urais wa CCM Dr. Ali Mohammed Shein Kuwa Rais wa Zanzibar akiwa na kura 299 sawa na asilimia 91.4.
==> Matokeo yote kama yalivyotangazwa yako hapo chini
No comments:
Post a Comment