MGOMBEA URAISI WA TLP MACMILIAN LYIMO ARUHUSIWA KUPIGA KURA
Mgombea urais wa TLP, Macmillan Lyimo amepiga kura yake muda mfupi uliopita, asema hapakuwa na fomu namba 19 lakini kitambulisho alikuwa nacho Taarifa hii imetoka muda huu na mwandishi wetu mkoa wa kilimanjaro
No comments:
Post a Comment