Mbeya Greennews
Pages
(Move to ...)
Home
MAGAZETI
MAKALA
Contact
Video
Music
▼
Sunday, 25 October 2015
HUKU VIJIJINI NILIKO KURA ZINAPIGWA KWA AMANI..
MWENYEKITI ANA KIPANDE CHA KUPIGIA KURA..
..Mwenyekiti wenu nikishapiga kura kijijini, mita mia mbili nimeshafika kwenye msonge wa ndugu wa ukoo wa Mjengwa. Hapo kuna kuku atakayechinjwa kwa kitoweo cha mgeni..!
Maggid
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment