Mfanyakazi wa ndani wa mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini Ciril Chama (CCM) aitwaye Mariam Said (16) amefariki dunia mapema alfajiri ya leo ikiaminika kwamba kifo chake kimesababishwa na kipigo toka kwa mke wa Mbunge Chami, sababu kubwa ikielezwa kuwa binti huyo ambaye ni muislamu alikataa kata kata kwenda kuhudhuria misa kanisani.
Msimamo wa binti huyo ulimpelekea kipigo kikali, na hata mashuhuda walioshuhudia kipigo hicho cha kikatili kwa huyo binti, mke wa Mbunge inasemekana aliwajibu kwa lugha ya kejeli na kuwaambia hakuna mtu anaweza kumfanya chochote hata akimwua, kwani serikali ni yao, na CCM ndiyo inayoongoza dola, kwamba mahakama yetu, polisi wa kwetu, hakuna kima atakayenigusa. Alifoka mke wa Chami.
RIP mdogo wangu Mariam Said
Chanzo: Moshi fm
VYANZO Jamii forum na Mosh fm Radio
No comments:
Post a Comment