Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (fulana
nyekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV Magogoni wakivuka
kuelekea Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 17, 2014. Watoto hao
ambao wanasoma darasa la awali katika shule ya msingi ya Bunge,
walipata bahati ya kuketi na viongozi hao waliokuwa wakielekea kuhani
msiba wa kada wa CCM Marehemu Edward Masanja Ng'hwani maeneo ya Kibada.
|
No comments:
Post a Comment