KLABU ya African Lyon inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, imepata mwaliko wa kwenda kuweka kambi mjini Barcelona nchini Hispania. Taarifa ya African Lyon iliyotumwa jana, imesema kwamba, mwaliko huo wamepewa na kampuni ya Aspire Management, inayojishughulisha na masuala ya michezo na ushauri wa kibiashara.
![]() |
Tunakwenda Hispania; Mmiliki wa African Lyon, Rahim Kangezi 'Zamunda' amesema wamealikwa Barcelona |
.CHANZO
Na Dina Ismail, Dar es Salaam ktoka BIN ZUBERY
No comments:
Post a Comment