Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu
Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa Bunge Mapema Leo
asubuhi Mjini
Dodoma.
|
![]() |
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akisaini fomu za mgombea Nafasi ya
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mapema Leo asubuhi Mjini
Dodoma.
|
![]() |
Kina
Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiimba kwa furaha baada ya
fomu za Mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan
Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma.(PICHA NA HASSAN)
|
No comments:
Post a Comment