Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya sanamu ndogo ya mji wa Vallejo
toka kwa Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani Mstahiki Osby Davis
alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27, 2014.
Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo
wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji
wa Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani. |
No comments:
Post a Comment