Thursday, 20 February 2014

HUU NDIO UJANJA WALIUTUMIA MAJANGILI KUSAFIRISHIA PEMBE ZA NDOVU

20140215_142042
Story hii ilitoka February 15 ambayo ilitolewa na Jeshi la Polisi Mtwara kuhusu kukamatwa kwa watu watatu ambao walikuwa wakisafirisha pembe za ndovu zenye thamani ya Milion 700,kutoka Mtwara kuja Dar es salaam,walikamatwa  alfajiri ya February 14 saa 11 katika kijiji cha Chungu kata ya Nanyumbu, tarafa ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara.
MTANDAO HUU  Umepata  picha za Gari hiyo aina ya Toyota Land Cruiser,jinsi jamaa walivyotoboa hapo nyuma sehemu ya kukaa abiria,watuhumiwa hao walikua na jumla ya meno 58 yenye uzito wa jumla ya kilo 130.6 waliyapakiza kwenye gari aina ya  Toyota Land cruiser T208 AGC.
Hizi ndizo picha za Gari hiyo.
20140215_142235
20140215_142211
20140215_142206
20140215_141918
20140215_142221

0 comments: