Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi
Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na
wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wawekezaji katoka Nchini Uholanzi wakizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pamoja na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ziara ya siku moja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi
Lilianne Ploumen,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bam International nchini Uholanzi
Bw.Boaz Neugebauer, alipokuwa akiuliza masuala wakati wa mazungumzo kati
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mawaziri wake na Ujumbe wa Wawekezaji Kutoka Uholanzi ukiongozwa na Waziri wa wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri
wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,(katikati) wakiwa
katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,Makatibu na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uholanzi baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment