Wizara ya utumishi wa umma imetuma waraka unaotoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wote wa ofisi za umma na wananchi wote wanaohitaji huduma ktk ofs hizo.
Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi wa mwaka 2007 unawatka wafanyakazi wote wa ofisi za umma na wananchi wote kutokuvaa mavazi yafuatayo:--Jeans-Nguo zenye maandishi yoyote-Nguo zinazobana mwili wako-Nguo zilizo juu ya magoti (sketi/gauni)-Kaptula-Pedo-Jezi za timu za mpira-Nguo za chama chochote cha siasa-Suruali ambazo hazijapindwa-Blauz zinazoacha kifua/mgongo wazi-Kuvaa mlegezoWaraka huo ulikuwepo ila uekelezaji haukufanyika,hivyo kwanzia mwaka huu utaanza kutumika nchi nzima.Wananchi usiende ofisi za umma ukiwa umevaa mavazi tajwa hapo juu,utaishia kufukuzwa bila kuhudumiwa(Na JF)













0 comments:
Post a Comment