Chuo cha green hill institute kilichopo mkoani mbeya leo tarehe 24 mwezi 12 mwak2013 kimafanya mahafari ya ke ya kumi na 12 katika ukumbi wa mkapa mgeni rasmi wa mahafari hayo alikuwa mchunaji dk nguvilla |
wanafunzi wa Chuo Greenihill institute ambao walikua wakihitimu chuo leo katika ukumbi wa mkapa jijini mbeya |
Baadhi ya wahitmu wa chuao cha green hill institute wakisikiliza husia wa mkuu wa chuo |
Mwandishi wa blog ya mbeyagreennnews mr abdul m abdallah akiwa na muhitimu katika picha miss Lilian juma |
Ni baadhi ya wahitimu( kushoto) Huruma Nelson (kati) neema myamba na (kulia) christina nelson |
Miss Amida nyampanda mkufunzi wa chuo katika idara ya habari akitoa husia kwa wahitimu |
meza kuu na mgeni rasim Dk nguvila wapili kutka kulia wakisiliza risara ya wahitimu |
baadthi ya wageni walio hudhulia mahafali wakiwa katika pozi |
Mkurugenzi wa chuo cha green hill institute mh leonad levi mpagike akizungumza na wazazi |
No comments:
Post a Comment