Mbeya Greennews
Pages
(Move to ...)
Home
MAGAZETI
MAKALA
Contact
Video
Music
▼
Thursday, 26 December 2013
ASKARI AMSINDIKIZA MFUNGWA KUUZA VYUMA CHAKAVU
Askari Polisi akimsubiri mfungwa ambaye hakufahamika ni wa gereza gani la jijini Dar es salaam, kuuza chuma chakavu katika eneo la veterinary hivi karibuni.
Mhusika wa biashara ya chuma chakavu akipima mizani
Askari na mfungwa wakijadiliana baada ya
kuhakiki uzito wa chuma chakavu
Gari lililokuwa limewabeba wafungwa
Picha na maelezo kwa mujibu wa blogu ya Mpiganaji, Nyakasagani.
Source:
http://www.wavuti.com
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment