RAISI JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA KIRUMBA MWANZA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akilifunua na kulinyanyua
Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni.
Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na kesho wananchi watapata
fursa ya kupiganalo picha.
No comments:
Post a Comment