Angalia picha hii wakidada wazichapa kavkavu barabarani kwa kisa cha mwanaume chezea mapenzee wewe hatari
Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu bila maglovsi mbele za watu kwa
eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa anatoka na Boyfriend
wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana lakini leo yamewashinda
baada ya kuchangiabwana mmoja
No comments:
Post a Comment