Aliyekuwa
Kipa Namba moja na Nahodha wa Kikosi cha Taifa Stars Juma Kaseja
amepata majanga mengine baada ya Kuachwa na Taifa Stars baada ya Kocha Kim Poulsen kutangaza Kikosi cha Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)huku Juma Kaseja akiwa hayupo katika Orodha ya Taifa Stars . Ikumbukwe
kuwa Kaseja baada ya kumaliza mkataba wake na Simba Msimu wa Ligi
uliopita hakupata tena nafasi baada ya wekundu wa Msimbazi
kumtema,lakini naadaye ilianza mipango ya kumtafutia Timu Nje ya Nchi
lakini nayo haikuweza kuzaa matunda kutokana na zengwe za hapa na pale.
No comments:
Post a Comment