WAFANYAKAZI WA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WAFUNGIWA NJELICHA YA MKUU WA MKOA WA DSM KUWATAKA KURUDI KAZINI LEO
WAFANYAKAZI HAO WAKIWA NJE YA OFISI HIZO WASIJUE LA KUFANYA BAADA YA UONGOZI KUWAFUNGIA
MIJADALA YA HAPA NA PALE IKIENDELEA YA NINI KIFANYIKE
NYUSO ZILIZOPOTEZA MATUMAINI (picha na ujiji raha)
Mgomo wa wafanyakazi wa kampuni ya
ujenzi ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam ya Strabag,umeingia
katika sura nyingine leo baada ya uongozi wa kampuni hiyo kuwafungia
wafanyakazi nje na kuwazuia kuendelea na kazi licha ya tamko la mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick kuwataka kuendelea na kazi.
No comments:
Post a Comment