SERENGEIT FIESTER SEPTER 6 MBEYA 2013 YA FUNIKA KULIKO ZOTE TICKET ZILIISHA KABLA SHOW
Ni
show ambayo ticket zimeisha na inaingia kwenye list yangu ya show za
Fiesta zilizovunja rekodi mwaka huu…. Thank you watu wangu wa nguvu
Mbeya 87.8, sasa inafata zamu ya Iringa 92.9 Jumapili hii september 8
2013 tunakuja hapo.
No comments:
Post a Comment